Natafuta Sehemu ya kusupply chakula namaanisha Lunch | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta Sehemu ya kusupply chakula namaanisha Lunch

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mparanyanga, Mar 1, 2012.

 1. M

  Mparanyanga Member

  #1
  Mar 1, 2012
  Joined: May 20, 2010
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari zenu wapendwa,
  mimi ni mama wa mtoto mmoja na mume mmoja, natafuta sehemu ya kusupply lunch kwa Dar es salaam. yeyote atakayesikia au anayefahamu sehemu ambayo wanashida hiyo tafadhali wasiliana nami kwa no 0712 25 90 21 na 0754 255 734, chakula changu ni kizuri na hautajuta.

  NB:
  At least watu 20 kwaq ajili ya kusave cost za usafiri.

  Sample Menu yetu ni kama ifuatavyo


  MENU

  WALI

  WALI WA NAZI & KUKU 3500TSH
  WALI WA NAZI & SAMAKI 3500TSH
  WALI WA NAZI & MBOGAMBOGA 2000TSH
  WALI WA NAZI & NYAMA 2500TSH
  PILAU YA NYAMA 3000TSH

  NDIZI

  NDIZI ZA NAZI & NYAMA ROAST 3000TSH
  NDIZI MZUZU 2 FRIED & SAMAKI 3500TSH
  NDIZI MZUZU 2 FRIED & KUKU 3500TSH
  NDIZI MZUZU 2 FRIED & FIRIGISI 2 3000TSH
  NDIZI MZUZU 2FRIED & NYAMA ROAST 3000TSH

  CHIPSI

  CHIPSI & KUKU 3500TSH
  CHIPSI & FIRIGISI 2 3000TSH
  CHIPSI & SAMAKI 3500TSH
  CHIPSI & NYAMA ROAST 3000TSH

  MCHEMSHO (KWA ODA MAALUM)

  MCHEMSHO WA KUKU WA KIENYEJI 4500TSH
  MCHEMSHO WA NYAMA YA NGÂ’OMBE 2500TSH

  MATUNDA

  MIX FRUITS @ PLATE 1000TSH

  JUICE (FRESH JUICE) @ GLASS 1000TSH  CONTACT:
  MRS: VIOLET DAVID SHIJA
  MOBILE: 0712 259 021
  0754 255 734
  Asanteni na Mungu nwabariki. aka mama Joash
   
Loading...