Natafuta sehemu ya kuongeza programming skills..

Natafuta sehemu ya kuongeza programming skills..

felijose

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
201
Reaction score
59
mi ni mwanachuo mwaka wa tatu sasa..... najitahidi kutengeneza windows applications na android applications mwenyewe kwa kutumia java..... ila kwa sasa natafuta kampuni inayojihusisha na Java programming na hata php ikiwezekana.....
 
natafuta kampuni zinazotengeneza softwares za simu na windows application ili na mimi niongeze ujuzi... coz nina knowledge kwa sehemu hizo...
 
Nenda korea kusini kwenye kampuni ya Samsung
mama toto hujambo? Nimekumiss aisee.
Sasa hiyo si itakua long term plan jamani? Nadhani ye anatafuta short term plan for skill sharpening and knowledge increase. Au siyo felijose?
 
Last edited by a moderator:
hah... korea kufanya nn tena.... ? ndo tunajitahidi ili tuanzishe korea yetu hapa bongo...
 
yah... shukrani kwa kumuelewesha... mi natafuta experience kwa sasa....
 
Back
Top Bottom