enjai ya kyasha
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,065
- 3,585
Tafuta shughuli nyingine ufanye acha utumwa huoHabari za asubuhi wapendwa katika bwana.
Mimi ni kijana muhitimu wa shahada ya kwanza ya ualimu kwa masomo ya GEOGRAPHY na HISTORY, na nimehitimu mwaka huu.
Kwa sasa natafuta sehemu ya ku volunteer iwe shule ama taasis yoyote ile amabayo naweza kufit.
Nina uwezo mkubwa usiotiliwa shaka wa kufundisha masomo ya GEOGRAPHY, HISTORY, LITERATURE, CIVICS (GENERAL STUDIES) na COMMUNICATION SKILLS kwa level zote kuanzia english medium primary school mpaka A level pasipo kusahau na vyuo huria.
Kwa yeyote anayeweza kunisaidia pa kujishikiza huku nikisubiria sehemu nilizotuma CV yangu naomba anisaidie.
Kwa sasa nipo KAGERA ila nipo tayari kufanya kazi hata nje ya mkoa huu.
Natanguliza shukrani.
Mkuu labda hujui mazingira niliyopo ila nina maana kubwa sana kuleta uzi wangu huu.Tafuta shughuli nyingine ufanye acha utumwa huo
Pambana na mazingira yanayokuzunguka kukutoa kwenywe umaskini huo, yaani upoteze muda wako wote kwa Ku volunteer, Lima hata bamia uuze upate Pesa ya kujikimuMkuu labda hujui mazingira niliyopo ila nina maana kubwa sana kuleta uzi wangu huu.
Mkuu nimesoma chuo geo na hist.Kama chuo umesoma Geography na history ishia hapo ukiongeza somo labda Civics/generala studies. Sasa ukiweka na literature itakuwa chuoni ulisoma masomo mangapi?
Nakushauri tuu ndugu hali ni mbaya sana sana kwenye nayo masomo hani hao walimu wapo wengi mno hivyo basis tafuta Shule ya msingi iliyokaribu na wewee ujitoleeHabari za asubuhi wapendwa katika bwana.
Mimi ni kijana muhitimu wa shahada ya kwanza ya ualimu kwa masomo ya GEOGRAPHY na HISTORY, na nimehitimu mwaka huu.
Kwa sasa natafuta sehemu ya ku volunteer iwe shule ama taasis yoyote ile amabayo naweza kufit.
Nina uwezo mkubwa usiotiliwa shaka wa kufundisha masomo ya GEOGRAPHY, HISTORY, LITERATURE, CIVICS (GENERAL STUDIES) na COMMUNICATION SKILLS kwa level zote kuanzia english medium primary school mpaka A level pasipo kusahau na vyuo huria.
Kwa yeyote anayeweza kunisaidia pa kujishikiza huku nikisubiria sehemu nilizotuma CV yangu naomba anisaidie.
Kwa sasa nipo KAGERA ila nipo tayari kufanya kazi hata nje ya mkoa huu.
Natanguliza shukrani.
Shukran mkuu.Nakushauri tuu ndugu hali ni mbaya sana sana kwenye nayo masomo hani hao walimu wapo wengi mno hivyo basis tafuta Shule ya msingi iliyokaribu na wewee ujitolee
Pili nakushauri tafuta fani nyingine mfano ,jifunze hata welding au kuchomea Kwa gas au refrigeration and air condion au fundi umeme wa magari au kuendesha makatapila hata ukija pata kazi baadae unakua na fani mbili kweli ualimu kwa serikali hii hali ni ngumu nakushauri fata nilichokwambi hutajuta !!? Mimi nimeamua kufanya mwngine nayafurahia maisha
Kuwa specific hayo mengine piga chini, huwe ukawa na teaching subjects NNE, base kwenye masomo yako tuMkuu nimesoma chuo geo na hist.
Lakini nina uwezo pia wa kufundisha lit. na comm. Skills maana nimeyasoma kutoka o level mpaka a level.
Kipindi hiki itabidi ujishushe sana yani elimu iweke pembeni tafuta ujuzi ila nakuhakikishia baada ya muda mfupi umiupata ujuzi utafanya mambo kiusoma utaraise vizuri Ila wajinga wasioona mbele hawatakuelewaShukran mkuu.
Kila MTU ana future plan yakePambana na mazingira yanayokuzunguka kukutoa kwenywe umaskini huo, yaani upoteze muda wako wote kwa Ku volunteer, Lima hata bamia uuze upate Pesa ya kujikimu
Nenda kwenye forex mkuu utapeliweShukran mkuu.
Si ungetumia ID yako ya mwanzo tuNenda kwenye forex mkuu utapeliwe
Hapo utakuwa unababaisha Literature. Ulikuwa na ufaulu gani wa somo hilo? Km kujitolea utapata ila mna tabia mkishapewa mnaanza kudai dai malipoMkuu nimesoma chuo geo na hist.
Lakini nina uwezo pia wa kufundisha lit. na comm. Skills maana nimeyasoma kutoka o level mpaka a level.
Ipi mkuu sina nyingineSi ungetumia ID yako ya mwanzo tu
leseni unayo, umesikia mkakati mpyaHabari za asubuhi wapendwa katika bwana,