NATAFUTA SEHEMU YA BIASHARA NIKODISHE

NATAFUTA SEHEMU YA BIASHARA NIKODISHE

chuma jr

Member
Joined
Oct 17, 2015
Posts
89
Reaction score
138
HABARI wapendwa kama kichwa cha habari kinavyojieleza ninatafuta eneo dogo tu la kukodi kwa ajiri ya kufungua goli la POPCORN eneo liwe kwenye population nzuri ya watu kodi iwe ya baridi isiwe ya moto nikaungua then location ni dar es salaam sio mkoa mwingine tofauti na DAR then nina issue nyingine nahitaji mtu ambae anaweza kutengeneza zile vikombe vya popcorn kama unaweza kutengeneza nitafute tuzungumze kazi kwa issue zote mbili namba yangu ni 0746862603 call/sms nategemea msaada wenu wakuu.
asanteni sana
 
Usisahau kualika Waziri/naibu wa viwanda na biashara aje kufungua kiwanda kipya cha 100....80
Kila la heri!
 
Back
Top Bottom