Natafuta sehemu tulivu ya mapumziko mwisho wa mwaka ndani ya Tanzania

Nenda opera hotel ipo nugwi Zanzibar hakika utafurahi na hutajuta utatamani kuongeza siku labda salio likate kwa siku inaweza fika 450$ ukikaa week moja ndio uta enjoy zaidi
Mi nilikaa golden tulip ya mji mkongwe karibu na forodhani , ni $75 tu, restaurant iko juu ammbapo unapata vii nzuuuuuri ya bandari na bahari
 
Mi nilikaa golden tulip ya mji mkongwe karibu na forodhani , ni $75 tu, restaurant iko juu ammbapo unapata vii nzuuuuuri ya bandari na bahari
Nugwi ndio mpango mzima mkuu high season unaweza hisi haupo TZ
 
Wakuu ni sehem gani tulivu, standard (nje ya Dar es salaam) ambayo unaweza ukaenda kwa ajili ya vacation na mpenzi wako mwisho wa mwaka? Hoteli standard (sio guest au lodge) ambayo unaeza ukaenda kutulia na mwenzi wako? Dar es salaam vurugu nyingi sipapend, Mwanza Arusha Moshi?! Tupeane machimbo....
Turudi kijijini tukale nao tu.
 
Wakuu ni sehemu gani tulivu, standard (nje ya Dar es Salaam) ambayo unaweza ukaenda kwa ajili ya vacation na mpenzi wako mwisho wa mwaka? Hoteli standard (sio guest au lodge) ambayo unaeza ukaenda kutulia na mwenzi wako? Dar es Salaam vurugu nyingi sipapend, Mwanza Arusha Moshi? Tupeane machimbo.

Nenda Mtwara (Gas City) pale kuna Mdude mmoja wakuitwa NAF BEACH HOTEL, Bahari ya Hindi miguuni mwako Fukwe safi na Huduma ya Kila aina. Hakuna Vurugu na iko Isolated kidgo.
 
Nenda zanzibar..hotel za kule huwa user friend...bei sio kubwa sanaa...kampani kubwa.watu mnakua weng..trip za kutosha.wazungu kama wote...hakuna barid kihivyo..bikini za kitosha...sio unaenda na mtoto anabak kuvaa misweta tu..
 
Back
Top Bottom