Natafuta secondary ya kuhamishia mtoto Dodoma

Mkuu mpeleke shule inaitwa alqaem seminary.....na experince na hapo binafsi nilipata one.....kwa sasa ada roughly figure ni km 600000
 
mkuu hizi shule zote wanaruhusu hata mtoto kuhamia kidato cha tatu?
kama ana matokeo mazuri huko anatoka hyo itakuwa ni ticket ya kupata shule nzuri. kama ni wa kike nakushauri mpeleke huruma or St. Peter clavery
 
Mkuu mpeleke shule inaitwa alqaem seminary.....na experince na hapo binafsi nilipata one.....kwa sasa ada roughly figure ni km 600000
Al qaem allumn, mtoto wa bhanji. Al qaem Ni moja kati ya shule nzuri sana dodoma ila haina bording kama anavyotaka. Ulimaliza mwaka gan ndugu. Mimi 2010
 
Maria de mathias ni nzuri sana ila sina uhakika kama wanapokea wahamiaji nenda shuleni mtafute mrs lyimo mkuu wa shule ni ndg yangu lakini sina namba yake kwa sasa
 
St Francis ya kongwa pia ni nzuri ila sijui kama kuna kuhamia, mpeleke moro siyo mbali na dodoma kuna lamirium girls, kuna charlotte , Father Pio, zote nzuri hao wanaweza kumpokea junior seminary kama ni mkristo dhehebu lolote kama nafasi ipo watampokea
 
Back
Top Bottom