Natafuta secondary ya kuhamishia mtoto Dodoma

wanan

Senior Member
May 11, 2011
141
42
Naomba msaada wa kupata secondary kuhamishia mtoto wangu wa kidato cha nne iwe ya bweni mkoani Dodoma.
 
kuna nkuhungu secondary(chini ya masister), huruma (ya wasichana), azimio(mchanganyiko), saint peter clever(mchanganyiko) darul(mchanganyiko),
mkuu hizi shule zote wanaruhusu hata mtoto kuhamia kidato cha tatu?
 
Ukishindwa Dodoma mjini kuna St. Pio (mchanganyiko ipo Kibaigwa), St. Francis girls (Kongwa) na Queen Esther girls (Mpwapwa)
 
kuna nkuhungu secondary(chini ya masister), huruma (ya wasichana), azimio(mchanganyiko), saint peter clever(mchanganyiko) darul(mchanganyiko),
Hiyo saint peter nzuri nmeicheck net unaweza nsaidia Namba zao kwenye mtandao sijaziona na ada je ni sh ngapi?msaada plz
 
Ada yao ni kama millioni mbili na michango mengine kama million tatu lakini sidhani kama wanachukua wanafunzi wa kuhamia
 
Back
Top Bottom