Natafuta sarafu ya Shilingi 20

Natafuta sarafu ya Shilingi 20

REALITY

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2014
Posts
4,391
Reaction score
1,960
Habari wadau.

Natafuta hii sarafu ya shillingi 20 yenye mwaka 1993 mwenye nayo ani pm au anicheck kwa 0687532647.
 
raskaka nibip kwa number yako mkuu
 
Last edited by a moderator:
Habari wadau ,natafuta hii sarafu ya shillingi 20 yenye mwaka 1993 mwenye nayo ani pm au anicheck kwa 0687532647
mkuu mimi nanazo ila sijaangalia huo mwaka nipo mbali na home nikifanikisha nakuchek mkuu.
 
mi napenda kujua matumizi yako. Ninazo nimehifadhi kuja kuwaonesha watoto wangu...naweza kukupa au kukuazima siuzi
 
sarafu ya sh.20 ilitolewa na benk kuu ya mwaka 1961-1981 not otherwise na mimi ninazo izo uyo atakaekwambia ya mwaka tofauti na huu nilokupa kaa chonjo!
 
mi nna anko anaduka la rejareja tangu miaka mingi sana anazo zimesalia kwenye box la chenchi so kama ni dili na unazihitaji tangaza dau nikupe zakutosha
 
Ninazo nyingi ngoja nicheki mwaka kama ni huo nipe mshiko nikumwagie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom