Natafuta Sales person

Natafuta Sales person

itakiamo

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2014
Posts
1,071
Reaction score
1,865
Habari za asubuhi boss wangu, Kampuni ya PM TRADING AND LOGISTICS inatafuta sales person mmoja (female) .
Industry ni Air Cargo na malipo Huwa ni kwa Commission.
Pia kampuni itakupatia nauli, chakula Cha mchana nk.

WhatsApp/ Calls +255 755 18 48 73.

Pia msisahau kumpatia supplier wako address yetu.

OUR CHINA ADDRESS
广州市越秀区环市西路202号之三第十一层1148铺(美博体育用品市场)-Patrick 19584669781
 
Yani hakuna usenge nisiiyoukubali kama malipo ya commission na inaonekana hamdumu na wafanya kaz kwasabab ya uendeshaj kandamizi
 
Sasa sales kuzunguka uku na uku wapi na mwanamke sema mnatafuta malaya wa kumlala mtakavyo.....
Vikampuni uchwala vina mambo...
Hatuzunguki mtaani boss wangu, pia punguza ukali wa maneno
 
Naomba rough calculation za custom duty kwa mzigo wa 50K
 
Naomba rough calculation za custom duty kwa mzigo wa 50K
50 k unamaanisha kilogram? Ikiwa unamaanisha 50 kilogram, mzigo utakapokuja kuuchukua utalipia 1,512,000 Tsh na hakutokuwa na malipo ya ziada hii inajumuisha mpaka kodi,
Karibu sana boss

WhatsApp/ Calls +255 755 18 48 73
 
500000Tsh sio Kilogram
 
Habari za asubuhi boss wangu, Kampuni ya PM TRADING AND LOGISTICS inatafuta sales person mmoja (female) .
Industry ni Air Cargo na malipo Huwa ni kwa Commission.
Pia kampuni itakupatia nauli, chakula Cha mchana nk.

WhatsApp/ Calls +255 755 18 48 73.

Pia msisahau kumpatia supplier wako address yetu.

OUR CHINA ADDRESS
广州市越秀区环市西路202号之三第十一层1148铺(美博体育用品市场)-Patrick 19584669781

Hapa mnatafuta demu wa kupokezana ofisi nzima. Muwe mnajipigia tu kwa kumpa vijicent vidogo vidogo.... Mtawala sana kuanzia kwenye usaili.
 
Katika kazi zinazoongozwa kutangazwa ovyo mitaani ni zilizopewa jina la sales,hii ndio kazi pekee ambayo mtangazaji hataki ndugu zake rafiki zake na watu wake wa karibu wanufaike ila anatangaza watu wa mitandaoni na mitaani asiowajua ndio waipate.utazurura mitaani na mpaka viatu vitakwisha malipo ni commisoon maana yake kama hujapata wateja imekula kwako .pumbavu
 
Hapa mnatafuta demu wa kupokezana ofisi nzima. Muwe mnajipigia tu kwa kumpa vijicent vidogo vidogo.... Mtawala sana kuanzia kwenye usaili.
Kwa mindset kama hizi! Vijana tuna safari ndefu sana
 
Yani ni tafrani tupu unawaza kwanini

Mnawachukulia poa sana salesman wakati ndo watu wanawaletea vipato
Huu ni upuuzi mlipe mtu mshahara then udemand makubwa kutoka kwake

Unategemea mtu ataipenda vipi kazi yake kwa malipo ya commission badilikeni aise au vitengo vyote ofisin kwenu mnalipa kwa commission
Hii huwa ina positive na negative side. Mkuu kwa sales mwenye experience na aliyejitengezea wateja huwezi amini anafaid sana kulipwa kwa commission

Ila kwa njuka ndio tabu kidogo
 
Habari za majukumu boss wangu.
Karibu PM Air Cargo tukusafirishie mizigo Kwa njia ya ndege 🛬🛫 kutoka China 🇨🇳 Kuja Tanzania 🇹🇿.
Kwa wiki hii mzigo utaondoka na ndege ya Jumapili ya tarehe 22 June .
Rate yetu ni USD 11.5 tu Kwa kilogram.

Pia tuna ofa maalumu kwa wasafirishaji wa mizigo yenye bidhaa kama nguo, kava za simu ,Protector za simu na chaja za simu , ofa hiyo ni kama ifuatavyo

KILO 1-29 BEI USD 11.5
KILO 30-49 BEI USD 10
KILO 50-99 BEI USD 9.5
KILO 100 NA KUENDELEA USD 9

WhatsApp/ Calls +255 755 18 48 73

Karibuni sana

32f1fd70652741cbbdc848c9d4351909_1.jpg
 
Bado tunaendelea kupokea mizigo katika warehouse zetu za Guangzhou China, karibu sana tukusafirishie mizigo Yako kwa haraka na usalama Kwa njia ya ndege.

OUR CHINA ADDRESS
广州市越秀区环市西路202号之三第十一层1148铺(美博体育用品市场)-Patrick 19584669781

WhatsApp/Calls +255 755 18 48 73
fedf6e57f6a44ef3a5e6d3e56c9a317c.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom