Natafuta Sales person

Natafuta Sales person

Nimeona watu wanacomment kwamba Malipo ya Commision ni Wizi.Swali ni Je kwa nini ni Wizi?Commision si ni Faida?Commision maana yake ni Flexibility.Ina maana mfanyakazi anakuwa na Uhuru wa Kufanya Kazi kwa Uhuru

NInachojua Cha muhimu sio Commision Cha muhimu ni kiasi cha Commision,Mazingira ya kazi,Huduma za Ziada na nature ya Kazi.

All the Best
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom