M Molembe JF-Expert Member Joined Dec 25, 2012 Posts 9,932 Reaction score 11,863 Apr 16, 2016 #1 Simu yangu ya tecno M9 imekufa hivyo natafuta mtu mwenye saketi aniuzie ili niweze kubadilisha.
PNC JF-Expert Member Joined Feb 3, 2015 Posts 8,105 Reaction score 14,356 Apr 16, 2016 #2 Hyo ya mwanzo imeathirika na nini au haiwaki kabisa
S structuralist JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 1,230 Reaction score 910 Apr 20, 2016 #3 Mkuu hizo simu zilitoka kitambo kidogo na nadhani hazikuwa nyingi, mimi binafsi natumia hiyo simu labda tuongee vizuri unaweza nishawishi nikakuzia yangu,ipo fresh haiana hata mchubuko.
Mkuu hizo simu zilitoka kitambo kidogo na nadhani hazikuwa nyingi, mimi binafsi natumia hiyo simu labda tuongee vizuri unaweza nishawishi nikakuzia yangu,ipo fresh haiana hata mchubuko.