Natafuta roommate nchi Marekani

Mr sule

JF-Expert Member
Oct 14, 2021
607
1,097
Mimi naishi Marekani na nina miezi 2 nikiwa kama raia wa marekani.

Nataka roommate.

Roommate hutohusima kulipia bills yeyote ila tu nataka mtu(KE) wa kuishi nae kwa muda mfupi ambao unajitafuta chini ya miezi sita.

Kama ndo bado unawaza wapi pakufika au kuanzia maisha nchini Marekani natoa nafasi ya chuma kwa mtu mmoja ndani ya miezi sita.

Mimi napenda sana kusaifiri so nahitaji kampani ya mtu wa kuishi kwangu.

Nimepanga nyumba ina vyumba 2 ila maswala ya bills yeyote hutohusika.

Kama kuna mtu unamfahamu au unampngoa wa kujana na huna pa kufikia, Fanya tujadili zaidi PM.

Update kwa watu ambao wanafikiri niko hapa kuweka Fix


Ya kwanza ni pesa nimefanyia kazi ndani ya miezi sita mwaka huu wa 2023
IMG_1973.jpg



Picha ya pili ni pesa niliotuma Tanzania kupitia sendwave ndani ya miaka miwili.
IMG_1976.jpg




Tatu ni bank statement
View attachment 2832607


Nne ni chakula ninachonunua Doordash maana sipend sana kupika.
IMG_1978.png




Tano ni Bill ya umeme kila mwezi.
IMG_1979.jpg
 
Hebu tusaidie kujua mwamba
Huko wenzetu wa Ulaya au US, huwa hakuna kupangisha chumba ile kama kwetu, japo ni nadra sana ipo ila inakuwa mmepangishwa kwenye nyumba nzima, inaweza kuwa na vyumba mpaka 5 halafu mnashare jiko, bafu, choo.
Lakini mara zote nyumba juwa zinapangishwa kama nyumba nzima na kwa mtu mmoja tu, sasa kwa uwezo wako unachagua nyumba ya chumba kimoja au viwili mpaka vitatu au vinne, yaani nyumba nzima nadhani unanielewa..
Mtu akisha chukua nyumba ladba ya kupanga au kanunua kwa mortgage yenye vyumba viwili au vitatu, ni yeye sasa anakuwa na uwezo wa kuwapangishia washkaji wake vyumba humo halafu wanachangia kiwango ambacho mwenye kupangisha nyumba nzima ataamua ni bei gani walipie kwa chumba, lakini wanashea pamoja jiko, bafu, choo na kama akiaamua anaweza kuwaruhusu watanue pia sitting room siku moja moja 😂, hii mara nyingi ni kwa watu wako kama mfano wabongo wenzako, sio wamexican sijui wapopo wata take over nyumba nzima 😂😂😂, halafu wanakubakisha kwenye chumba chako tu.
Hivyo ndivyo wanavyopanga viumba vitatu usa river🤣
 
Back
Top Bottom