natafuta rav 4 ya kununa

natafuta rav 4 ya kununa

Jaslaws

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Posts
6,016
Reaction score
5,301
Heshima kwenu wana jamvi,kichwa cha habari kinajieleza,cjui sana kuhusu magari wadau kama kuna yoyote anaeuza ama anawezakunisaidia kupata rav 4 milango mitano,rangi c inshu iwe haijapata ajari..bajeti yangu ni 7 m..0758 144803
 
Passo au vitz
 
kweli mkuu kwa bei hiyo u upate gari lenye vigezo hivyo??

Utauziwa body ndugu yangu,.

Kuna rav 4 hapa ongeza kidogo uchukue mzigo,. 11M
 
kweli mkuu kwa bei hiyo upate gari lenye vigezo hivyo??

Utauziwa body ndugu yangu,.

Kuna rav 4 hapa ongeza kidogo uchukue mzigo,. 11M
 
kweli mkuu kwa bei hiyo upate gari lenye vigezo hivyo??

Utauziwa body ndugu

Kuna rav 4 hapa ongeza kidogo uchukue mzigo,. 11M
Pungufu ya hapo mkuu tuongee biashara mkuu..
 
Passo au vitz

Sijaulizia hizo mkuu,najua dau langu ni dogo kwa gari hyo bt weka kwa akili yko kua kuna watu wengn wanauza bidhaa zao kwa sababu ya matitizo labda ama mtu anashda ya hela ya haraka... so u never knw mkuu. naweza nkabahatisha.
 
heshima kwenu wana jamvi,kichwa cha habari kinajieleza,cjui sana kuhusu magari wadau kama kuna yoyote anaeuza ama anawezakunisaidia kupata rav 4 milango mitano,rangi c inshu iwe haijapata ajari..bajeti yangu ni 7 m..0758 144803
ya kununa?mie ninayo ya kucheka lakini siiuzi!
 
yna kununa?mie ninayo ya kucheka lakini siiuzi!

Lawama zote naziamishia kwa walezi wko najua umeelewa lakini sijui hcho kiherehere chako kinatoka wapi..
 
Ushauri wangu ongeza pesa upate gari nzuli ila kwa bei yako utapata ila jua ni umenunua matatizo. Ukifika hata 10 nicheki humu nikutumie hata picha ukague
 
Ushauri wangu ongeza pesa upate gari nzuli ila kwa bei yako utapata ila jua ni umenunua matatizo. Ukifika hata 10 nicheki humu nikutumie hata picha ukague

Mkuu ngja njichange
 
Lakini ukitulia Dar unaweza ukapata RAV4 Old Model kwa Mil. 8 tena ikiwa nzuri tu. Be patient baada ya X-Mas na Mwaka mpya utaziona tu. Juzi tu kuna jamaa alikuwa anauza RAV4 yake Old Model ambayo ameitumia kwa muda usiozidi miezi sita kwa Mil 8 ili atembee zake mbele.
 
Back
Top Bottom