Hebu tuachie sisi bana, huyo ni KE, anatafuta rafiki wa ME.....Hakyamama hata mimi napenda marafiki..........upo wapi.......?
Hebu tuachie sisi bana, huyo ni KE, anatafuta rafiki wa ME.....
Upweke umenishinda jamani natafuta rafiki kwanza mapenz yatafuata badaye kama kila m2 atampenda mwenzake tena upendo wa kweli(MUME WA MTU NA ULIYE NA MPENZI HAPA HAPAKUUSU WE PITA 2 NI KWA WALE WALIO SINGLE) awe mkristo umri usiozidi 28 wala usipungue 26 mi ni ke nina miaka 24 mjasiriamali mdogo. kwa kufahamiana zaidi ni PM.
​Mhh how old are you baby?! Yaani mpaka umri huo hujabahatika kupata? Any thing wrong?Upweke umenishinda jamani natafuta rafiki kwanza mapenz yatafuata badaye kama kila m2 atampenda mwenzake tena upendo wa kweli(MUME WA MTU NA ULIYE NA MPENZI HAPA HAPAKUUSU WE PITA 2 NI KWA WALE WALIO SINGLE) awe mkristo umri usiozidi 28 wala usipungue 26 mi ni ke nina miaka 24 mjasiriamali mdogo. kwa kufahamiana zaidi ni PM.
a a......kasema wapi yeye ni ke........mi sijaona........
Hakyamama hata mimi napenda marafiki..........upo wapi.......?