nina mume watatu ila naruhusiwa kuongeza mmoja .... sijabahatika kupata mtoto bado
nakusubiria pale pale leo lazima univishe pete ninayo tayariNinadeliver wakina dada babies Hilo usihofu Miss Chagga
huyo anatafuta mchumba mie natafuta rafiki, mbio zetu ni tofauti
honey tena? angalia usije ukapeperusha ndege wako, au bado hajapatikana?
nakusubiria pale pale leo lazima univishe pete ninayo tayari
vilele ni tofauti yeye anatafuta ndoa, mie natafuta rafiki (no mapenzi involved)
huko huko unakowazia, ningekuwa nataka huko ningesema wazi
Nakuja Miss wangu usihofu I take you for dinner first...
Majina yasikuchanganye mkuu
Cc:Miss Chagga
Mimi umenipata lakini ukae ukijua nimeoa usijeanza kujitongozesha kwangu.
honey ni kikorombezo tu asijali