Natafuta rafiki

Natafuta rafiki

Kama ni rafiki tu kwa nini unatafuta wa kiume? Ina maana sie wa kike huwez kubadilishana mawazo na sisi?
 
Mimi umenipata lakini ukae ukijua nimeoa usijeanza kujitongozesha kwangu.

kwenye post yangu nimeweka wazi, no mitongozo. kama wewe ni responsible then you wont cross that line
 
Nadhani nijinsi gani upo katika mahitaji ya mwanaume ila ujafanya kosa kwani umeeleza unachokifikira mwenyewe mimi naomba nikuulize je wewe una umri gani je wewe Elimu yako niipi je wewe unafanya kazi?
Zaidi ya hapo angalia maelezo yakila aliyecomment na uyatafakari tuma PM lakini kama nikukusanya PM za watu walizotuma ujue utaondoka na koroma!Kwa heri kwa leo yangu ni hayo queeny ila miss chagga naomba nawewe umpe angalizo!
 
Last edited by a moderator:

sawa mkuu walaji ni wengi humu huwa wanapinga hakuna urafiki wa kike na mwanaume......queeny kama kuna ambaye umevutiwa nae tuma pm... ila uwe makini isijeikawa mbuzi kafia kwa mppika supu uachwi
 
Nadhani nijinsi gani upo katika mahitaji ya mwanaume ila ujafanya kosa kwani umeeleza unachokifikira mwenyewe mimi naomba nikuulize je wewe una umri gani je wewe Elimu yako niipi je wewe unafanya kazi?
Zaidi ya hapo angalia maelezo yakila aliyecomment na uyatafakari tuma PM lakini kama nikukusanya PM za watu walizotuma ujue utaondoka na koroma!Kwa heri kwa leo yangu ni hayo queeny ila miss chagga naomba nawewe umpe angalizo!

mbona umeongea kama vile baba yangu? calm down. I know exactly what I want
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom