natafuta rafiki

natafuta rafiki

bora mie zombi kuliko wewe MSUKULE.....taila weweeee....usiyejua nn maana ya forum kama hii...hivi unadhani kila mtu anasapot ----ing like that...

haahahaahaahaa! Hujui ulitendalo! Umesamehewa!
 
Kama umewza kuweka namba yako weka na picha ili watakaotaka wakuchabo wasipate tabu!!!
 
heeeeeeheeeeeeeee...kwiiiiiiiii....kwiiiiiiiiiii........humu ndani jf ukiwa na hasira utaua jitu....ilaaaa ndo raha ya humu ......nawapenda wote wanjf
 
Good!!una confidence utapata tuu.
Nb.
Af unafanana na Jayz. Mgoogle alivokuwa young! Akyanani tena.
 
Jamani eeh me nashndwa kulog in kweny acount yngu hta kuchek notifcation nashndw nisaidien kwa xaxa nikilog in naletew list of forums
 
it is not fake kila kitu ni real kama unabisha check joseph mayuni na hautakuta fake details hat moja...si kila mtu ni fake...ushazoea kudanganywa eti....
Sijazoea kudanganywa ila nakuthikitia tu wewe domo Zenge,mtaani umeshindwa utaweza humu


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Sijazoea kudanganywa ila nakuthikitia tu wewe domo Zenge,mtaani umeshindwa utaweza humu


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

sijaweka hii post ili unitukane...mbona wengene mnapenda kutafuta umaarufu kwenye post za watu...come fe de mode noume le feela conza fesando
 
Dah! Dogo ana confidence ya ajabu! Yaani anajitutumua ile mbaya.

Safi sana..
 
Hebu toa udhaifu wako humu...umeshindwa kutongoza hata wale wa barabarani?
 
Huko mtaani kwenu hakuna wasichana kwan?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom