natafuta rafiki wa kuchart nae, kubadilshana nae mawazo pia.
natafuta rafiki wa kuchart nae, kubadilshana nae mawazo pia.
Kuchart c ndio kama hivi au we unataka kuchatije?tupo kibao na tumejaa tele, marafiki wa ukweli!
Kuchart c ndio kama hivi au we unataka kuchatije?tupo kibao na tumejaa tele, marafiki wa ukweli!
Umeona mkuu? Swahiba anataka ku-chart watu wanamzodoa. Ndo mazoea ya Chit Chat haya.Huyu anatafuta mtu wa ku-chart naye....sio ku-chat
Anataka ile kuchat ya kwenye PM!
Msaidie kwa niaba ya JF please,si unajua mwaka huu DIV 0 nyomi?!ebu kampunguzie mawazo.