Mmm... Sijui nini kinaendelea hapa
hapa kuna mtu anatafuta marafiki wa kuchat nae kampata manoah watu wanamuonea wivu. Mi mwenyewe natafùta rafiki kwa kuwa mke wa mtu sumu. Nimekupm na cv yangu. Naomba unikubalie Lady doctor.
cc: The secretary, Bishanga, Queen Kan, manoah
manoah kweli kabisa! Hata siamini ngoja ni mwite Mpenda Yesu aje akufanyie maombi maalum.,
king kan , nimeipata mkuu! Heshima yako..
hapa kuna mtu anatafuta marafiki wa kuchat nae kampata manoah watu wanamuonea wivu. Mi mwenyewe natafùta rafiki kwa kuwa mke wa mtu sumu. Nimekupm na cv yangu. Naomba unikubalie Lady doctor.
cc: The secretary, Bishanga, Queen Kan, manoah[/QUOTE
kumbee! Nilikuwa sijui naona watu wanarushiana mawe tu
mkuu heshima kwako pia, huyu Lady doctor sijui anataka nipange foleni ya interview. Au anataka ntume barua ya maombi wakati tulishatoka analojia.
mkuu heshima kwako pia, huyu Lady doctor sijui anataka nipange foleni ya interview. Au anataka ntume barua ya maombi wakati tulishatoka analojia.
fuata yale anayo hitaji, ili muelewana.... ukiwa mgumu hutofika popote mkuu king kan
bora hata umemuambia Manoah, yeye ananitongoza kidigitali wakati mwenzie sina hata king'amuzi lol.
huyu huyu kabisaaa!!!! Ben Saanane anakazi ya ziadaduh! huyu huyu Madame B ... Pole mkuu, mvumilie tu