Display Name
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 423
- 451
- Thread starter
-
- #41
Hizo sifa ninazo lakini unataka kunikabidhi moyo wako niupeleke wapi? UFAFANUZI tafadhali
yani mie mwenyewe nakaa kwetu sa si itakua balaa hiyo
we hauna vigezo?
au ?
Umri hapo tabu sasa,ungeanzia 25 mpaka 30 sawa. Wenye umri unaotaka wana ndoa zao na wachumba so itakuwa ngumu labda kama unataka #teambazazi
Nini maana yake kwa Kiswahili???
utawapata waigizaji wenzio wanaobadirika kutokana na mazingira!
Hivi kwenye bandiko sijaandika waume wa watu hawaruhusiwi......
watoto siyoshida as long as mama yao haupo nae yan mumeachana
baada ya kutumika sana na kutelekezwa umekuja hapa jamvini kwa style nyingne kuwakamata waume wa watu.
Habiri wakuu,
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka isiyozidi 29 lakini haipo chini ya 25. Natafuta rafiki wa kiume mwenye Umri usiopungua miaka 30 but usizidi miaka 45. Awe anapenda kusocialize, asiwe anakariri kila kitu, awe pia anajua kubadilika kutokana na mazingira (coz hata mie nahisi nina sifa hizo)
Mwenye sifa hizo please unakaribishwa au hata kama unamfahamu mtu mwenye sifa hizo mwambie namtafuta kwa kweli.
Note:
Maisha ya upweke yamenishinda mie, natafuta wakubadilishana nae mawazo na pia nataka kumkabizi moyo wangu.
Karibuni
Mimi nina miaka 40, nina sifa zote lakini naonja kinywaji kidogo, je nina nafasi yoyote hapo?Habiri wakuu,
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka isiyozidi 29 lakini haipo chini ya 25. Natafuta rafiki wa kiume mwenye Umri usiopungua miaka 30 but usizidi miaka 45. Awe anapenda kusocialize, asiwe anakariri kila kitu, awe pia anajua kubadilika kutokana na mazingira (coz hata mie nahisi nina sifa hizo)
Mwenye sifa hizo please unakaribishwa au hata kama unamfahamu mtu mwenye sifa hizo mwambie namtafuta kwa kweli.
Note:
Maisha ya upweke yamenishinda mie, natafuta wakubadilishana nae mawazo na pia nataka kumkabizi moyo wangu.
Karibuni
Achana naye. Nijibu bibie mwenzio nasubiri..Hahahahahahaha,
Mkuu ushapigwaga changa la macho nini?
mana naona kama unajibu kwa experience vile. Any ways wewe ndo wale ambao wanakariri na hivyo automatically umekosa hii nafasi.