Natafuta rafiki wa kiume

Natafuta rafiki wa kiume

Kabla hatujawa marafiki unaweza kunionesha kaburi la mumeo au cheti cha kifo
 
Njoo PM
Uje na.
1. Majina yako matatu
2. cheti cha kuzaliwa.
3. Barua mwenyekit wako wa mtaa.
4. Matokeo yako ya ngazi zote za elimu.
5. National identity card
6. Cheti cha kuzaliwa cha baba na mama
7. Kadi yako ya kliniki
8. Cheti cha kupima maradhi yoote

KARIBU
 
Sema kua na urafiki na mtoto wa kike na hamna kitu ambacho ni common kati yenu inakuaga kipengele kinyama mtaishia kuombana mzigo mwisho wa siku mtapotezeana kama mlivokutana.
Kaka hicho ndicho anachotaka hapa. KUDINYWA
Ametumia lugha ya staha ya kikubwa.
Hataki ndoa na utamaduni wetu waafrika yeye mwanamke hawezi kutongoza directly.
Ana mahitaji ya kujamiiana, tafadhari mumuelewe.
 
Na mijitu ilivyo mijinga itamiminika huko PM bila kujali kama huyu anaweza kuwa ndiye Mafwele mwenyewe.

Nyakati hizi siyo za kushobokea watu usiowajua mitandaoni....

FB_IMG_17605309658842914.jpg
 
Kaka hicho ndicho anachotaka hapa. KUDINYWA
Ametumia lugha ya staha ya kikubwa.
Hataki ndoa na utamaduni wetu waafrika yeye mwanamke hawezi kutongoza directly.
Ana mahitaji ya kujamiiana, tafadhari mumuelewe.
Mwanamke akitaka mtu wa kumkaza hapati tabu anaangalia macomredi walioko benchi anawaamsha waanze kupasha, atafufua mawasiliano na watia nia mbali mbali & atapost picha kadhaa hapo, sasa huyu mpaka kaamua achungulie humu atakua na agenda binafsi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom