Natafuta rafiki wa kike

Haya jamani kila ligi inayokuja tufanye mmeshnda bhaaaaaaaa .maana watu ni wabishi kama ngoz ya ------ kila siku inakaliwa wala hata haichubuki
 
Muda wangu wa kuangusha huu...endelea na lindo...hahaha huyo ndugu yenu wa huko Celebrities nitamkodolea macho kesho!!!

Kuna mgonjwa kichaa kimempanda huko celebrities wahi ukampe tiba aatulie la sivyo anakaribiaa kuvua nguO. Omba msaadaa wa Elungata
 
Last edited by a moderator:
Yani JF imejaza, ila huyu anaonekana mpole...hebu mfikirie swala zima la rafiki wa kuchat...si unajua tena
Sina vigezo dear maana umri wangu uko juu . Hata hivyo mimi huwa sichati hata kidogo. Nimeona celebrity. Watu wanataka kutoana nundu lol. Hawa wanaotetewa wangejua wana wapenzi wengi wangeacha bifu zao tu ili wapenzi waendelee kufurahia shoo zao.
 
Hahahahahaha yaniiiii mie thimooo nachumiaa langu tumbo, huo muda wa kubishana si heri nikafanye mazoezzi nipunguze nyama uzembe
 
Hahaha mwenyewe amekuwa mdogo, kuna mwingine huko jukwaa la celebrity naona ana mimba ya mapacha anatukana watu kwa kwenda mbele naona naye anahitaaji tiba atulie...sijui limao? Heaven on earth tusaidie tiba gaani tumpatie yule mbulula

yule mbulula unaachana nae ukibishana nae utaonekana chizi......
ndo maana nimemwachia jukwaa aendelee kutukana akimaliza moja kwa
moja leba akajifungue mapacha wake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom