Habar natafuta rafiki wa kike , mwenye weusi wa asili , wa kuvutia ,mwembamba na mzuri wa sura mengine tutawekana sawa mbele ya safar.
Mmmmh kutafuta mwanamke jf duh kujitafutia matatizo huku
Yaani nikahisi anaongea na mimi directly!!!Mbona umeandika Kama unamwona? Basi mwambie aje uyo apo
Miss Natafuta huyu hapa unaye mtafuta.Habar natafuta rafiki wa kike , mwenye weusi wa asili , wa kuvutia ,mwembamba na mzuri wa sura mengine tutawekana sawa mbele ya safar.
Habar natafuta rafiki wa kike , mwenye weusi wa asili , wa kuvutia ,mwembamba na mzuri wa sura mengine tutawekana sawa mbele ya safar.
mimi sio mweusi mkuuMiss Natafuta huyu hapa unaye mtafuta.
Ulikua unatafuta lakini rafiki wa kiume si huyo hapo ruka nae.mimi sio mweusi mkuu