Natafuta rafiki wa kike wa kutoka naye out weekend hii-jumamosi kuamkia jumapili

Hizo za siku hizi zikoje.Kwanza inaonyesha wewe bado mtoto mdogo nikibishana na wewe ni kupoteza wakati nisije kuwa nabishana na mtoto wa chekechea humu.

Kama nilivyowaza kuawa wewe utakuwa umekuja kutafuta msaana wa jinsi ya KUTON**ZA, sikufundishi. Badilisha kwanza maelezo yako ya awali. Yasomeke unaomba msaada wa jinsi ya Kuton**za. la sivyo utaendelea kupigwa vibuti na chaga za mbavu hivyohivyo
 
Na wewe acha kujishaua kwani sie tunataka kujua kama ulikuwa China au mabwepande ..inahu..
Naona kama uzinzi unakunyemelea ..Ikimbie zinaa

atakuwa kuna alichoenda kurekebisha huko,so anatoa angalizo mapema ili atakayeenda awe kajipanga kichinachina pia
 
Kama nilivyowaza kuawa wewe utakuwa umekuja kutafuta msaana wa jinsi ya KUTON**ZA, sikufundishi. Badilisha kwanza maelezo yako ya awali. Yasomeke unaomba msaada wa jinsi ya Kuton**za. la sivyo utaendelea kupigwa vibuti na chaga za mbavu hivyohivyo
Wewe ***** ndio maana nimekwambia wewe ni mwanafunzi.Watu wazima wenye pesa zao hawatongozi wanafunzi kama nyie ndio mnaotongoza.
 
Elimu muhimu ili nikikutana na rafiki zangu tukiwa out wasiojua kiswahili asibakie anashangaa tu.Basi ajue angalau kuongea kiingereza kidogo.

Umeniudhi, ila hii post imebidi nicheke lol
 
Nilikuwa safarini China ndio nimerudi hapa Bongo.Niko mpweke sana natafuta msichana mrembo asiwe mnene sana umri kuanzia miaka 21-35 wa kula naye starehe weekend hii kuanzia Jumamosi tarehe 15 hadi Jumapili tarehe 16 .Msichana mwenyewe awe na elimu angalau kuanzia kidato cha nne na kuendelea.Awe anaishi hapa Dar.Aliye tayari naomba ani PM mapema tuanze mikakati ya kupanga jinsi ya kukutana.

nenda uwanja wa fisi, wako tele!
 
Mimi ninakidhi vgezo vyako na masharti bosi. But wasiwasi wangu nikukuona naweza kuzimi... Wewe kasura kako sio kama kayule mheshimiwa afananaye na chimpanzie kwi kwiiiiiiii. Watu wengine bana..

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Kumbe hizi swaga bado zipo? Kwani ukisema unatafuta mpenzi ni dhambi?Ningekuwa wewe ningekwenda ofisi za star times kutafuta wachina nilio wa zoea au kariakoo.
 
Ungesema unatafuta anayejua kiingereza au kichina basi ila co elimu. Subiri ikifika ucku upite mitaa ya sinza mpaka afrika sana utawapata tu uchague mwenyewe.

Kweli mdau maana kufika form four au university sio kwamba ndio anajua kiingereza maana kuna watu wana elimu hizo lakini wamesomea nchi ambazo hazizungumzi kiingereza kama Congo Brazaville.
 
Kasahau kama UKIMWI upo..
Sasa ukimwi ukiwepo ndiyo uzuie watu kutafuta warembo wa kutoka nao Out.Mbona ndege zinananguka na kuua abiria wote lakini siku hiyo hiyo unapanda ndege.Tusipande ndege kwa sababu zinaweza kupata hitilafu angani na kuanguka?
 
Pole kwa kukuudhi na hii ndio sababu watz wengi hawajui english kutokana na mtazamo wa huyu jamaa kwani akiwa hajui english si anaweza akawa mkalimani wake
Kwa nini nijitese kuwa Mkalimani .Nataka tukiwa kwenye mazungumzo na wenyeji wangu ambao hawajui kiswahili mtu wangu niliyetoka naye out naye awe anachangia mawazo kwenye mazungumzo yetu si awe bubu maana tutakuwa tunamboa.
 
Kweli mdau maana kufika form four au university sio kwamba ndio anajua kiingereza maana kuna watu wana elimu hizo lakini wamesomea nchi ambazo hazizungumzi kiingereza kama Congo Brazaville.
Ndiyo vigezo vyangu nilivyoweka kumpata wa kutoka naye out kama wewe una vya kwako sivihitaji
 
Kwa nini nijitese kuwa Mkalimani .Nataka tukiwa kwenye mazungumzo na wenyeji wangu ambao hawajui kiswahili mtu wangu niliyetoka naye out naye awe anachangia mawazo kwenye mazungumzo yetu si awe bubu maana tutakuwa tunamboa.

Mpaka umefikia ukajua hiyo lugha ulianza hivyo hivyo kibubu bubu baadae ukaanza neno moja baada ya jingine, hata kama atakua anajua bado kuna uwezekano wa kuwa bubu tu hasa kama hawajazoea. Mfano mzuri sie hapo tunajua kiswahili lakini unaweza kujichanganya na watu ambao wapo na kampani yao lakini mwisho wa siku uchangii kwa kuwa unakuta hujawazoea nadhani ungeongeza sifa nyingi awe mtu wa kujichanganya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom