Natafuta rafiki wa kike wa kutoka naye out weekend hii-jumamosi kuamkia jumapili

KENET

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
258
83
Nilikuwa safarini China ndio nimerudi hapa Bongo.Niko mpweke sana natafuta msichana mrembo asiwe mnene sana umri kuanzia miaka 21-35 wa kula naye starehe weekend hii kuanzia Jumamosi tarehe 15 hadi Jumapili tarehe 16 .Msichana mwenyewe awe na elimu angalau kuanzia kidato cha nne na kuendelea.Awe anaishi hapa Dar.Aliye tayari naomba ani PM mapema tuanze mikakati ya kupanga jinsi ya kukutana.
 
Ungesema unatafuta anayejua kiingereza au kichina basi ila co elimu. Subiri ikifika ucku upite mitaa ya sinza mpaka afrika sana utawapata tu uchague mwenyewe.
 
Na wewe acha kujishaua kwani sie tunataka kujua kama ulikuwa China au mabwepande ..inahu..
Naona kama uzinzi unakunyemelea ..Ikimbie zinaa
Jamani najisikia mpweke ndio maana nimekosa pa kuongelea upweke wangu.Nikaona mahali muhimu ni hapa JF huku mtaani kwetu sina uzoefu nako jinsi ya kumpata huyo mrembo.
 
Ungesema unatafuta anayejua kiingereza au kichina basi ila co elimu. Subiri ikifika ucku upite mitaa ya sinza mpaka afrika sana utawapata tu uchague mwenyewe.
Hao wa mtaani si wataki nasikia wengi ni wezi na wamewaliza sana watu kwa kuwaibia.Nataka ambaye nitamfahamu mapema na kuzoeana naye kwa njia ya kuchat kabla ya kukutana hiyo Jumamosi.
 
Nilikuwa safarini China ndio nimerudi hapa Bongo.Niko mpweke sana natafuta msichana mrembo asiwe mnene sana umri kuanzia miaka 21-35 wa kula naye starehe weekend hii kuanzia Jumamosi tarehe 15 hadi Jumapili tarehe 16 .Msichana mwenyewe awe na elimu angalau kuanzia kidato cha nne na kuendelea.Awe anaishi hapa Dar.Aliye tayari naomba ani PM mapema tuanze mikakati ya kupanga jinsi ya kukutana.

Chambo hicho utavua wengi.
 
Nabii Yunus(R.A)..aliulizwa ni kitu gani ambacho kimekushangaza sana wakati wa uhai wako..akajibu ni "wakati. wakati unakwenda sana". Nakushauri hizo gharama bora uende kwa watoto yatima ukatoe msaada kwani wakati ndiyo huu.
 
Hao wa mtaani si wataki nasikia wengi ni wezi na wamewaliza sana watu kwa kuwaibia.Nataka ambaye nitamfahamu mapema na kuzoeana naye kwa njia ya kuchat kabla ya kukutana hiyo Jumamosi.

eti nitamfahamu vizuri kwa kuchat!
 
Nabii Yunus(R.A)..aliulizwa ni kitu gani ambacho kimekushangaza sana wakati wa uhai wako..akajibu ni "wakati. wakati unakwenda sana". Nakushauri hizo gharama bora uende kwa watoto yatima ukatoe msaada kwani wakati ndiyo huu.
Kuna fungu la kusaidia na kutumia.Pesa utafute mwenyewe kwa nini usijipe raha?Wakati wa kusaidia Yatima ukifika na hilo fungu la kusaidia likiwepo watasaidiwa.
 
Wewe sema unatafuta changudoa wa kuspend nae wk end. Hakuna rafiki wa siku moja. Ungekuwa Arusha ningekuelekeza.
 
Kuna fungu la kusaidia na kutumia.Pesa utafute mwenyewe kwa nini usijipe raha?Wakati wa kusaidia Yatima ukifika na hilo fungu la kusaidia likiwepo watasaidiwa.

Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo. Nabii Yunus(R.A)..aliulizwa ni kitu gani ambacho kimekushangaza sana wakati wa uhai wako..akajibu ni "wakati. wakati unakwenda sana".
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom