Natafuta Rafiki Wa Kike Wa Kumjali

Natafuta Rafiki Wa Kike Wa Kumjali

Cool Gentleman, masharti yako makubwa maana inatukwaza wengi tu, tunabaki tunaangalia tu maana kuna wengine mistari yote ya 2 to 8 inatuacha!

MadameX you are not serious. Kwanza hakuna Mstari No. 8.

Kama dondoo namba 6 na 7 inakuacha, hakika sina cha kukusaidia. Kila la heri.
 
Natafuta rafiki wa kike ambaye nitampenda na kumjali, kubadilishana mawazo, company na kusaidiana katika mambo ya maisha.

Sifa zake:

  1. Awe na Umri usiopita miaka 40
  2. Awe na umbo zuri na sura ya kuvutia na uzuri wa asili
  3. Awe na tabia njema na asiwe na tamaa
  4. Awe ana ndoto za maendeleo na mitazamo chanya katika maisha na anayejiamini
  5. Awe na Elimu ya kuanzia ngazi ya Diploma - PhD
  6. Awe tayari kupendwa na kupendeka, kudekezwa na kudeka
  7. Awe tayari kwa uhusiano wa muda mrefu kama tutaelewana

Sifa zangu:

  1. Umri wangu miaka kati ya 45-50
  2. Elimu yangu: Shahada ya Uzamili
  3. Kazi: Nimeajiriwa na Kujiajiri
  4. Sina mke
  5. Nina watoto wawili

Ambaye yuko seriously tuwasiliane kwa PM au barua pepe gentleman.waukweli@gmail.com

PM na barua pepe zote zitajibiwa 24X7 kwa walio seriously

uliyezaa nae hao watoto wawili, amekosa sifa?
 
siku hizi wanawake tunatongoza...fursa sawa kwa wote

Ni kweli? Siyo kuwa akianza kutongoza anakimbia? Mara nilikuwa natania, mara atauma kucha, mara kupandisha mabega akikana. Haaaa haaaa

Asante Nehondo.
 
Last edited by a moderator:
mimi ni kama unavoniona hapo kwa avatar yaani sifa zote ninazo .....watoto wa kike au wa kiume?

Ni kweli sehemu zinazoonekana ziko vizuri, ingawa sura yako sina uhakika. Na miguu je? haaaa haaaa (natania).

Nina watoto wawili wa kiume.
 
MadameX you are not serious. Kwanza hakuna Mstari No. 8.

Kama dondoo namba 6 na 7 inakuacha, hakika sina cha kukusaidia. Kila la heri.

Mkuu unazidi kunikatisha tamaa, hilo la 6 na 7 naweza kujifunza si unajua tushazoea mambo ya utapeli tapeli lakini uwezekano wa kubadilika upo. Usinivunje matumaini.
 
Mkuu unazidi kunikatisha tamaa, hilo la 6 na 7 naweza kujifunza si unajua tushazoea mambo ya utapeli tapeli lakini uwezekano wa kubadilika upo. Usinivunje matumaini.

MadameX si mimi ninayekukatisha tamaa ni wewe mwenyewe katika moja ya post yako uliandika:

Cool Gentleman, masharti yako makubwa maana inatukwaza wengi tu, tunabaki tunaangalia tu maana kuna wengine mistari yote ya 2 to 8 inatuacha!

Sasa mimi nakukatisha tamaa kivipi? Nilikuwa nashangaa kuwa kweli huwezi hata kupendwa ukapendeka? Kudekezwa ukadeka?
 
MadameX si mimi ninayekukatisha tamaa ni wewe mwenyewe katika moja ya post yako uliandika:

Sasa mimi nakukatisha tamaa kivipi? Nilikuwa nashangaa kuwa kweli huwezi hata kupendwa ukapendeka? Kudekezwa ukadeka?

Sasa kama umenipa nguvu, lakini naona competition ni nyingi, Smile na Preta. Duuh naona kama tutauana.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom