natafuta rafiki, mwa kusaidiana naya kiushauri

natafuta rafiki, mwa kusaidiana naya kiushauri

Joined
Jun 24, 2013
Posts
6
Reaction score
0
awe wa kike asizidi miaka 22 pia awe over eighteen, kwani naamini kwaku share naye mawazo nita jua nimwanamke wa ainagani anaweza kunifaa kuishi naye.:A S kiss:
 
Sijakuelewa. Unatafuta mpenzi ama rafiki? Kushare mawazo na kuishi pamoja ni biashara tofauti, moja kibali unachukua city na ingine kibali ni tbs.
 
Kama hata kuandika hujui,utaweza kubadilishana mawazo na msichana gani sasa?
 
Wana JF huyu si makosa yake inawezekana ndiyo balehe imempitia, sasa joto limepanda. Hana lolote zaidi ya GENYE tu.
 
Back
Top Bottom