Natafuta rafiki mfanyakakazi serikalini

Natafuta rafiki mfanyakakazi serikalini

Steven Simon

Member
Joined
Sep 27, 2013
Posts
26
Reaction score
2
Naitwa Masele, natafuta rafiki aliyeajiriwa na serikali, awe mwenye busara, heshima, mwenye weledi na kazi, mtanashati, awe kwenye wizara, taasisi, mamlaka au shirika la serikali. Tafadhali, kama una sifa hizo nitafute kwa namba 0786601598
 
Ha ha haaaa
Unataka mbereko au mbebeo eeh? Shauri zako.
 
hujasomeka vema

waitwa Masele, ndio! Je malengo ya rafiki unayemtafuta ni kwa ajili gani, wewe unafanya kazi gani na wapi, una umri gani, unatafuta rafiki wa umri gani, jinsi gani, n.k.

fungukaa....
 
Naitwa Masele, natafuta rafiki aliyeajiriwa na serikali, awe mwenye busara, heshima, mwenye weledi na kazi, mtanashati, awe kwenye wizara, taasisi, mamlaka au shirika la serikali. Tafadhali, kama una sifa hizo nitafute kwa namba 0786601598

Nijaalie jinsie yako niangalie uwezekano wa kukukonsida, najua hilo jina la Steven Simon ni Nick name tu
 
Naitwa Masele, natafuta rafiki aliyeajiriwa na serikali, awe mwenye busara, heshima, mwenye weledi na kazi, mtanashati, awe kwenye wizara, taasisi, mamlaka au shirika la serikali. Tafadhali, kama una sifa hizo nitafute kwa namba 0786601598

Kwanini iwe serikalini tu? Unataka kupiga deal za kuingiza magari kwa exemption? Si wazee tumekustukia, lol!
 
NIJUE KWA JINSI YAKO NDO TUELEWANE. NACHELEA KUSEMA UNATAKA BWANA (mende mlamba nyaa )
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom