Nilijua unahitaji in bulk tufanye biashara..Natafuta Kwa ajili ya matumizi bnafsi ( urembo) so nahitaji kiasi kidogo Tu but kama unazo unaweza sema bei yako then we can negotiate
Nipo Geita...kuna jamaa nilikuwa nawauzia Mwanza pale City Mall sasa kutokana na Corona demand ikashuka...nikastop kidogo maana kuna pahala nilikuwa nazifata but kama wewe utahitaji tufanye biashara nicheki humu ...bcomplex06@gmail.comKama unazo mkuu naweza Chukua hata Kwa wingi. Unazo kiasi gani na upo wapi?
Forces of demand and supply ndo zina determine price of goods and services...elewaBuyer anaogopa kutoa offer yake, Seller naye anaogopa kutoa offer yake.....
Ni biashara za Kiswahili peke yake ndo zina Utaratibu huu.
Okay nakuchek Kaka ngoja niku pm kwanzaNipo Geita...kuna jamaa nilikuwa nawauzia Mwanza pale City Mall sasa kutokana na Corona demand ikashuka...nikastop kidogo maana kuna pahala nilikuwa nazifata but kama wewe utahitaji tufanye biashara nicheki humu ...bcomplex06@gmail.com
Quartz clear crystal kuuza ni 120,000 size kuanzia kg1 na kuendeleaBuyer anaogopa kutoa offer yake, Seller naye anaogopa kutoa offer yake.....
Ni biashara za Kiswahili peke yake ndo zina Utaratibu huu.
Yaani ni Shidah...mtu anatangaza Biashara open ukiuliza bei unaambiwa njoo DM🤣🤣🤣Buyer anaogopa kutoa offer yake, Seller naye anaogopa kutoa offer yake.....
Ni biashara za Kiswahili peke yake ndo zina Utaratibu huu.
Kg 200 mpk 300Hiyo laki na 20 zinakuwa kiasi gani?
Kilo moja ni 120k ,ila mzigo lazima ukusanye to 200 kg ambapo utapewa 12MlnMkuu nifafanulie vizuri kwamba nikitoa hiyo laki na 20 nitapata mawe yenye ujazo wa kilo 200 Hadi 300 si ndio?
Kg1 bei ya kuuza ni 120,000/ mpaka 100,000/ hizo ni bei ya baadhi ya matajiriMkuu nifafanulie vizuri kwamba nikitoa hiyo laki na 20 nitapata mawe yenye ujazo wa kilo 200 Hadi 300 si ndio?
Hahaha unataka pesa au asili ya mnunuzi?!Kg1 bei ya kuuza ni 120,000/ mpaka 100,000/ hizo ni bei ya baadhi ya matajiri
Quartz inategemea kuna jiwe linaweza likuwa kg 1,2 na kuendelea
Quartz hizi unataka ww au una tajiri
Je kama una tajiri tajiri yako ni wa aina gani Je mchina,mzungu,mbongo
Ova
Kila mwenye asili hapo ntajua tabia style yakeHahaha unataka pesa au asili ya mnunuzi?!
Kwani akiwa Muhindi bei inapungua au inazidi?!
Style ya kufanya nini?!Kila mwenye asili hapo ntajua tabia style yake
Nna uzoefu nao
Ova