inspectorbenja
JF-Expert Member
- Oct 14, 2012
- 639
- 707
Kwa mlioko dsn naomba mnijuze bei za pikipiki aina ya honda used cc 90 ni bei gani.hizi ni maarufu kwa jina la honda zenye kikapu mimi nipo interior najikusanya nasikua zipo nyingi sana mwenge.naomba kujuzwa