Kamakabuzi JF-Expert Member Joined Dec 3, 2007 Posts 2,904 Reaction score 1,364 Jun 18, 2015 #1 Kuna kijana wangu anapenda sana music hasa wa gospel, tayari ameweza kuwa na nyimbo zake ambazo zinavutia, Sasa anatafuta promoter. Nisaidieni Natanguliza shukrani kwa niaba yake
Kuna kijana wangu anapenda sana music hasa wa gospel, tayari ameweza kuwa na nyimbo zake ambazo zinavutia, Sasa anatafuta promoter. Nisaidieni Natanguliza shukrani kwa niaba yake