Mie pia nasubiria majibu lo
Kochi mpaka linalowa jasho kitanda hamna?Wadau habari za jioni. Poleni na mvua. Tafadhali naomba mwenye idea ya products za kusafisha makochi hasa haya ya fabric ili kuondoa kiharufu na jasho n.k ambayo ukisasafisha Kochi linawahi kauka.
Natangulisha shukrani zangu za dhati kwenu.