Keynez
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 2,428
- 3,937
Waheshimiwa,
Naomba msaada wa email address ya Nd. Mohammed Dewji, CEO wa MeTL. Kuna proposal nataka kumtumia ila ningependa imfikie yeye moja kwa moja kwanza, hata kama ataidelegate kwa watu wake wa chini hapo baadaye sina tatizo kwa sababu najua ni mtu aliye busy sana.
Au kwa anayejua, ni mtu anayeweza kupatikana kwa appointment?
Natanguliza shukrani.