laurent katema
Member
- Dec 22, 2015
- 32
- 9
Nitakupa jibu kesho kuna mahali niliyakuta nitapita kujua kama bado yapoHabari ya jioni ndugu jamaa na marafiki, kwa yeyote anayefahamu yanapo uzwa majiko ya stove anifahamishe nipo Dar. 0714374155 au 0753199179. Au kama unalo na unaliuza tuwasiliane pia ila liwe katika hali nzuri.
Duka gani mzee nisaidieNenda clock tower...utayapata.
Asante broNenda pale pale ulizia duka la vyombo .... Linatazamana na hiyo round about ... Ni maarufu hilo duka la mhindi na ana bei nzuri pia.
Pamoja. Mhimu ni Pressure stove = Pressure Cooker!!Asante bro
Sasa nitapata wapi mkuuhayo majiko yamewahi kuwa na dili mtaani yalitafutwa sana ila sio yote afu masharti yake makali sana
Habari ya asubuhi mkuu uliniahidi kunijulisha kama stove zipo kunamahali uliziona vipi zipo?Nitakupa jibu kesho kuna mahali niliyakuta nitapita kujua kama bado yapo
Salama mkuu, samahani nilijisahau mkuu. zipo pale Moshi mjini duka moja linaitwa mombasa store linatazamana na bank ya NMB. kama una mtu wako maeneo ya moshi muagize akuchukulieHabari ya asubuhi mkuu uliniahidi kunijulisha kama stove zipo kunamahali uliziona vipi zipo?
contact on 0714374155Mwenye jiko kama hili aniuzie, ila liwe katika hali nzuri.
utatoa shiling ngapi mkuuSasa nitapata wapi mkuu
la Germany mkuuMimi ninalo.ila niko mkoani.ni yale ya toleo la kwanza kabisa ya stove.
nipmNdio