Nimejaribu sana kuelezea:maeneo yepi udongo hauhamishwi mkuu? tafadhali tusaidie
.....si anajua huo ni mji wa Lema !Mkuu mbona mikwala mingi sana[emoji23] [emoji23]
nilikuwa nataka cha makazi mkuu. pia sheli si unajua kituo cha polisi kinatakiwa kuwa karibu, wenyewe wakiamua muda wowote wanaweza kufuata pesa zao na kama upo mbali na kituo kuna risk sana.una weza kuweka sheli kwakuwa kipo barabarani japo sio close sana na barabara ila ina faha kwa sheli...
Mushono viwanja vinaendaje?Kwa taarifa yako 30ml nusu heka huwezi pata kiwanja Njiro au Moshono. Njiro angalia uwe na 50ml. Nakushauri tafuta maeneo mengine kama kisongo. By the way Njiro na Moshono kuna shida ya upatikanaji wa maji sana
sawa mkuu... ila ukiitaji na kama mtu ataitaji basi tuwasiliane mkuu ili tufanye biasharanilikuwa nataka cha makazi mkuu. pia sheli si unajua kituo cha polisi kinatakiwa kuwa karibu, wenyewe wakiamua muda wowote wanaweza kufuata pesa zao na kama upo mbali na kituo kuna risk sana.
Kiboooookuna heka hapa karibu na chuo cha mandela bei 90 Million.... karibu kama una uhitaji...
kuna tatzo mkuu?Kibooooo
Pesa yote hiyookuna tatzo mkuu?
mkuu kama una uitaji njoo tufanye biashara....Pesa yote hiyoo
Mkuu mimi nataka maeneo hayo ...ninayo 15 Milmkuu kama una uitaji njoo tufanye biashara....
Mmmmh.... eb labda uniambie cha ukubwa gani... density unayo taka... ila sizaniMkuu mimi nataka maeneo hayo ...ninayo 15 Mil
40*40Mmmmh.... eb labda uniambie cha ukubwa gani... density unayo taka... ila sizani
Kwa taarifa yako 30ml nusu heka huwezi pata kiwanja Njiro au Moshono. Njiro angalia uwe na 50ml. Nakushauri tafuta maeneo mengine kama kisongo. By the way Njiro na Moshono kuna shida ya upatikanaji wa maji sana