Natafuta Play Station (used)

Wakuu salaam.
Natafuta PS2 ama PS3 (kama affordable kwangu).
Nipo pande za Dar

Kaka nina ps3 kama tutaelewana nakuuzia, ni slim version with 3.55 software update, 2 dual shock 3 controler, HDMI cable 1, AVI cable moja, ina 320 GB , na pia nime jailbreak na kuweka game 10 kwenye hard disk as god of war 3, pro evolution, fifa, nba, gran tourismo 5, killzone na nyinginezo kali, so unaweza ukaazima cd ya mtu then ukaicopy na kumrudishia huku game unaichezea kwenye ps3 yako, so gharama ya kununua cd inapungua,

Nahitaji lak 8 na nusu nakuachia..


Also nina ps2 naiuza kwa laki moja na nusu, nayo nimeifunga modchip so haichagui cd, nakupa na 2 controler dual shock 2, avi cable na accessories zake zote, pamoja na cd 5 kwa bei hiyo hiyo..

So chaguo lako mdau hata zote poa
 
Jaman wa ps3 huyo anayeuza laki 8 me naitaka ila me nko moro cjuui ww unapatkana wapi......halafu 2ongee bei me nna laki 5 brother cyoo nane
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom