Elizaa
Senior Member
- Oct 19, 2010
- 136
- 48
Hahaha, tupo wote boss, tihamasishe kilimo cha pilipili na Vanilla kitawatoa watanzania maana masoko yake yapo tu.Mkuu#Eliza naona unatambaa na nyota yangu b gup.
Hahaha, tupo wote boss, tihamasishe kilimo cha pilipili na Vanilla kitawatoa watanzania maana masoko yake yapo tu.Mkuu#Eliza naona unatambaa na nyota yangu b gup.
Hata ndani lipo, mimi Narnia ndani. Nimeshaanza nahitaji kuongeza wigoJamani tufahamishane soko lake la nje ni wapi? Haya mambo tunalima Mahindi nchi nzima sio dili
Mzee wangu ni mkulima wa hio mambo ana mashamba yake zanziber. Mpigie namba zake hizi umuulizie bei 0715418882Habar ya jumatatu.naomba kuunganishwa na mkulima wa pilipili zile ndefu zinazopendwa na wahindi sio pilpil mbuzi mi niko dsm popote nitafuata.0657536080.nimeshindwa kuweka sample pic