Unatafta kiasi gani? Zipo morogoro maeneo ya kingolwira kuna Mzungu ndo kilimo chake!Habar ya jumatatu.naomba kuunganishwa na mkulima wa pilipili zile ndefu zinazopendwa na wahindi sio pilpil mbuzi mi niko dsm popote nitafuata.0657536080.nimeshindwa kuweka sample pic
Mkuu ngoja nikuulizie kesho nitakupa mrejesho!kwa kuanza nataka viroba vya kilo hamsini vinne bei gani mkuu
Habar ya jumatatu.naomba kuunganishwa na mkulima wa pilipili zile ndefu zinazopendwa na wahindi sio pilpil mbuzi mi niko dsm popote nitafuata.0657536080.nimeshindwa kuweka sample pic
So
Mkuu ngoja nikuulizie kesho nitakupa mrejesho!
G,d.
Jamani tulime, huyu mzungu hauzii soko la ndani, wako wapi wakulima waipate hii opportunity, na mimi nahitaji sana, tena kwa wingiUnatafta kiasi gani? Zipo morogoro maeneo ya kingolwira kuna Mzungu ndo kilimo chake!
Muuzaji si ndio anatoa bei, tukiona inalipa tutanunuaBei?
unanunua kg sh ngap? me nina zile za mwendokasi /za njano vp hazikufai?Jamani tulime, huyu mzungu hauzii soko la ndani, wako wapi wakulima waipate hii opportunity, na mimi nahitaji sana, tena kwa wingi
Hapana, nataka redunanunua kg sh ngap? me nina zile za mwendokasi /za njano vp hazikufai?
Sema uleteweJamani tulime, huyu mzungu hauzii soko la ndani, wako wapi wakulima waipate hii opportunity, na mimi nahitaji sana, tena kwa wingi
0713306263 tuwasiliane.Sema uletewe
0713306263 tuwasiliane.
Hii ni biashara itakayoendelea, ndio maana nimeweka namba ya simu ili nikuelekeze uniletee sample kulingana na nahitaji with yetuMkuu bado unahitaji na kiasi gani?