Natafuta pikipiki kutoka India

Natafuta pikipiki kutoka India

Eligi

Senior Member
Joined
Mar 7, 2013
Posts
167
Reaction score
15
Wadau nahitaji sport bike kutoka India
Manufacturer- Bajaj
Model-Pulser 200 NS
Nahitaji kujua kama pale india inauzwa rupee 95000; pamoja na kufanya shipping services mpaka ifike bongo niikamate mkononi itanigharimu bei gani?
Kwa anayejua msaada tafadhali!
 
Mil 4.6
 
Pulsar 200 NS zina kimbia sana na pia ulaji wake mafuta si mbaya sana . Bei ikifika M 3 - 3.5 na mie nitanunua moja.
 
Back
Top Bottom