Natafuta pikipiki honda scooter haraka

Natafuta pikipiki honda scooter haraka

BMB5

Senior Member
Joined
Sep 14, 2013
Posts
196
Reaction score
8
iwe haina tatizo lolote bajeti yangu 500,000(laki 5) nicheki 0688206680 nipo dar
 
Kwa bei hiyo Utapata mkuu.Sema tu wengi hawana hivi vidude na wenye kuwa navyo sio watunzaji,maana havinedi shurba.
Mie ninacho home nilinunua Kipya,safiii,ila natumia kwa kazi zangu za nyumbani.Scooter zipo vizuri saana.
Kimyaa,halafu mafuta kidogo sana.Halafu fundi unakuwa mwenyewe,maana havina kazi kabisaaa.
Vizuri sana,nipo Dubai nimepakia kimoja kwa ajili ya mwanangu Shuleni.

Karibu katika ulimwengu wa Scooter.Ila vina aina hivi pia mkuu.Sema tu matolea yote ni mazuri,muhim matumizi.
Ukijua Baiskeli tu Scooter unaendesha,maana wife mwenyewe wiki moja tu akawa anakiburuza mwenyewe.My baby Girl wa 8 yrs nae anakiendesha,raha sana,

Kuna mtu Zanzibar nilimuacha anakiuza kwa bei kama hiyo,kipo vizuri sana,tatizo kusafirisha kuja Dar ndio mbinde,Gharama kubwa sana.
 
Mi natafuta pia nikipata PCX ndio naipenda zaid
 
Aisee,mkuu hizi ukiwa umepakia mtoto au wife mnakuwa kama vile mpo Honemoon ya Barabarani,hahahah
Maana Mkao wake wa kupakiana upo very romantic,halafu zipo kimya kweli sana.Unaweza ukaiwasha ukaona kama bado haijawaka.Hasa ikiwa mpya ndio kabisaa.
Mie yangu nimeifunga starter ya kutumia remote pia,basi kuna siku ilijiwasha kwa bahari mbaya basi ilinguruma hadi mafuta yakaisha bila hata kujua,maana kilikua uwani.
Nazipenda Sana Scooter,Ila ukimpa lift mwanaume mwenzio aisee vinakuwa havipendezi kwa muundo wake wa Couple Style,hahahaha
 
we jamaa bhana,anyway i like you,very honest kwenye topic za wenzio,ndio ubinadam,kusema ukweli kadr ujuavyo
 
mm nahitaji pikipiki aina ya fekon au sunlg pls kwa aliye nayo nina offer 800,000/=
 
We ladyfurahia mpaka leo hujapata tu?maana naona muda mrefu unatafuta.
Na budget yako sio Mbaya sana,endelea kukomaa wangu utapata tu.

Ila kuwa makini kwenye sunlg,kuna Sunlg kama unayotaka na kuna Sanlg,kama ilivyo Sony,kuna Sonyi,Sonai nk.Yaani ilimradi kuchanganywa tu.
Ni angalizo tu,nahisi unafaham
 
asante kwa kunishauri mkuu naomba nitafutie mteja
We ladyfurahia mpaka leo hujapata tu?maana naona muda mrefu unatafuta.
Na budget yako sio Mbaya sana,endelea kukomaa wangu utapata tu.

Ila kuwa makini kwenye sunlg,kuna Sunlg kama unayotaka na kuna Sanlg,kama ilivyo Sony,kuna Sonyi,Sonai nk.Yaani ilimradi kuchanganywa tu.
Ni angalizo tu,nahisi unafaham
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom