Natafuta picha ya kobe akivuka barabara, ni PM tuongee
ata kama ikiwepo kwani hiyo web si itakuwa na na moderators amabao wata edit mambo kabla hajaona
chagua hapo
ya kwanza
ya pili
ya tatu
ya nne
ya tano
ya sita
ya saba
ya nane
Nicheki PM tuongee biashara mkuu.
Kuna leopard tortoises na pancake tortoises.