BilioneaPATIGOO JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 12,320 Reaction score 11,343 Jul 14, 2016 #1 Habari wakuu, naomba mwenye kujua haswa wapi anaweza kuni connect na mtu ambae anauza pete ya "immo ring". Its serious!! . Kama uko na ufaham ama kujua wap exactly ntaipata naomba uje PM tuongee zaidi. Asante.
Habari wakuu, naomba mwenye kujua haswa wapi anaweza kuni connect na mtu ambae anauza pete ya "immo ring". Its serious!! . Kama uko na ufaham ama kujua wap exactly ntaipata naomba uje PM tuongee zaidi. Asante.