Kufuga kwenye cage maana yake ni unawatenga hukohuko baharini au ziwani au naomba kujuzwa.Aisee nlikuwa nafanya feasibility study ya hii kitu nimekwama kwenye chakula gharama kubwa sana. Nlitaka nianze na cage moja yenye sato elf10 cage ya mita 6x6x4 nimepiga chakula tu ni almost 15tons hadi wanavunwa
Msosi wa samaki sio mchezo.Aisee nlikuwa nafanya feasibility study ya hii kitu nimekwama kwenye chakula gharama kubwa sana. Nlitaka nianze na cage moja yenye sato elf10 cage ya mita 6x6x4 nimepiga chakula tu ni almost 15tons hadi wanavunwa
Ghalama za chakula kwa cage 1 haziwezi kufika huko mkuu.Aisee nilikuwa nafanya feasibility study ya hii kitu nimekwama kwenye chakula gharama kubwa sana. Nlitaka nianze na cage moja yenye sato elf10 cage ya mita 6x6x4 nimepiga chakula tu ni almost 15tons hadi wanavunwa
Materials kwa ajili ya kutengenezea vizimba kwa sasa yanapatikana hapa hapa nchini,Asante kwa ufafanuzi ulioutoa hapo juu. Mosi, ningependa kujua upatikanani wa materials za kujengea hivyo vizimba. Hizo nyavu ni saizi gani na zinapatikana wapi?
Pili, wewe binafsi mtu akitaka akutumie kuelekeza elekeza mambo kwenye mradi huo, gharama zako zinakuwaje?
Unaposema Nile Tilapia hakui vizuri unamaanisha nini? Watu wanatoa gram 400 kwa miezi mitano wakitumia system ya RAS na mbegu ya dume tupu(YY) na mwingine kafuga YY kwenye bwawa la asili katoa gram 600 miezi 6. Unaposema hawakui sikuelewi. Maana kwa miezi 6 uvune samaki mmoja ana nusu kilo huwezi kupata hasara kamweNakupongeza sana kwa jitihada zako. kule ziwa victoria/Musoma walianza wajeshi wakafuga kwa vizimba na baadaye watu wengine na makampuni wakafuatia. Hata hivyo wasiwasi wangu umebaki kwenye ukuaji wa mbegu inayotumika hapa kwetu ya nile tilapia (Oreochromis niloticus). Kusema kweli hii mbegu haikui aiseee iwe kwenye cages, mabwawa ya kuchimba hata uongeze oxygen hata ufunnge aerators. Kwa sababu kwa mtizamo wa kibihashara mafanikio katika ufugaji wa samaki ni, low mortality rate, ukuaji wa haraka kwa maana ya kuongezeka uzito haraka na eventually matumizi kiasi ya chakula basi.
Kuna wafugaji wamepambana wakapata vibali vya wizara wakaleta mbegu ya Chitralada Tilapia kutoka Thailand lkn naona baaado kasi ya ukuaji ni ndogo. Kuna wengine wameleta tilapia toka Entebe ambayo wa Israel wamefanyia sorting kwa muda mrefu lkn bado ukuaji wake ni mdogo.
Kwa ufupi, to breakeven kwenye ufugaji wa samaki ni ngumu kidogo kwa species zetu hizi chache tulizo nazo.
Wachina kwao wanafuga zaidi ya spices za samaki 100 kwenye maji baridi tu wakati sisi tunafuga zaidi zaidi 2 tu. Pamoja na hayo wachina kama wachina hata wakija hapa kwetu wakaweka cages ziwani samaki wao watakua kwa haraka kwa sababu watawalisha ma hormones kibao wakue fast.
Kuna wakati nilijaribu kufanya campaign ya kuingiza species nyingine za samaki wanaofugwa kwa faida kama pangasius lkn zikagonga mwamba nikakata tamaa baada ya kupoteza zaidi ya 95m kwenye hekaheka hizo.
Asante, Mkuu kwa ufafanuzi mzuri wa kitalaamu,Nakupongeza sana kwa jitihada zako. kule ziwa victoria/Musoma walianza wajeshi wakafuga kwa vizimba na baadaye watu wengine na makampuni wakafuatia. Hata hivyo wasiwasi wangu umebaki kwenye ukuaji wa mbegu inayotumika hapa kwetu ya nile tilapia (Oreochromis niloticus). Kusema kweli hii mbegu haikui aiseee iwe kwenye cages, mabwawa ya kuchimba hata uongeze oxygen hata ufunnge aerators. Kwa sababu kwa mtizamo wa kibihashara mafanikio katika ufugaji wa samaki ni, low mortality rate, ukuaji wa haraka kwa maana ya kuongezeka uzito haraka na eventually matumizi kiasi ya chakula basi.