Natafuta part ya galaxy note 3, mwenye nayo aniuzie

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
69,870
183,907
Niina galaxy note3 ipo njema but kwa bahati mbaya juzi kati imenyofoka kile kiplastiki cha ku protect camera na flash kwa nyuma nilipokuwa nikifungua mfuniko wake wa nyuma. Mbaya zaidi kilivunjika mguu mmoja hivo kimekuwa kikilembela nikaona nikitoe kabisa. Natafuta replacement part kwa mtu mwenye kile kiplastiki aniuzie either kwa kung'oa kwenye simu yake mbovu ama kama kipo dukani kwake aniuzie its urgent.
 

Attachments

  • s-l1600.jpg
    s-l1600.jpg
    26.6 KB · Views: 36
Back
Top Bottom