Natafuta oven for mini bekary

MmasaiHalisi

Senior Member
Jan 15, 2009
192
23
Natumaini wote ni wazima mimi ni mjasirilia mali natafuta oven kwa ajili ya kutengeneza mikate(morogoro)nauliza wapi naweza kupata hizo oven kwa ajili ya kufungua mini-Bekary,yeyote anayefahamu anijulishe nawasilisha
 
safi sn ndg mjasiriamali nimeipenda idea yako ngoja nione watavyokujibu, unataka kufungua Morogoro maeneo gani? mie naijua kidogo Moro
 
jaribu kutembelea mlimani city, ukikosa size unayotaka jaribu ebay or alibaba unaweza kupata oven nzuri used or new.
Pia jaribu kucheck na watu kama sido wanaweza kukutengenezea mtambo wa kuweza kuoka mikate mingi zaidi na kutumia mkaa kwa bei reasonable na gharama rahisi za uendeshaji kuliko oven linakula sana umeme
 
Piga hii no 0754373344 nakumbuka anaitwa Mmasi anazileta kibao toka china...pale samora opposite wizara elimu juu sayansi na tech....nilishauliza pale set nzima...inagharimu 10m.kukanda unga,kuumua,kukata...na oven za mikate 24 maramoja...all the best
 
Piga hii no 0754373344 nakumbuka anaitwa Mmasi anazileta kibao toka china...pale samora opposite wizara elimu juu sayansi na tech....nilishauliza pale set nzima...inagharimu 10m.kukanda unga,kuumua,kukata...na oven za mikate 24 maramoja...all the best

Mkuu skills4ever unaonekana upo deep sana na ujasiliamali.
Alwayz I like your comments.
Napenda sana kuwa mjasiliamali nina maplan kibao lakini ikifika kwenye mtaji natepeta kabisa.
 
kuna kampuni Nairobi,wanauza vifaa vya kuoka na kukanda ngano kwa ajili ya bekari,around mil2 for both,jina limenitoka ila tafuta gazeti la Daily nation huwa wanajitangaza ,
in short unaweza kupata kutoka nairobi kwa bei poa tu.
 
Nashukuru sana wote mlionipa information,hiyo company ya nairobi kama sikosei inaitwa serviscope bei zao ziko juu around 16700 usd full set
 
Jee una uzoefu na hii biashara ama ndio unaanza, mimi sina utaalamu huko lakini kuna jamaa yangu alinunua mashine kama hio kwa gharama ya milioni 10 matokeo imeharibika ndani ya miezi miwili, kwa hio ushauri wangu kama huna utaalamu na hizo mashine kabla ya kununua tafuta mtaalamu ili akupe ushauri juu ya aina gani ununuwe kulingana na ubora, uzalishaji na uimara wa hio mashine, pia unaweza kuangalia uwezekano wa kukodi jiko kwa kuanzia, mfano kama utakuwa na usafiri wa kwako na upo karibu na bekari kubwakubwa unaweza kukodi oven zao kwa masaa pengine 3 hours kila siku, hii itakuepusha na gharama za umeme, matunzo (service) ya hio oven nk.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom