Natafuta obd2 scanner

Natafuta obd2 scanner

MRAU

Senior Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
156
Reaction score
235
Habari ndugu zangu,nataka kujuzwa kuhusu wapi ntapata obd2 scanner Innova equus 3160b au Elm327 v2.1.nipo Arusha.ushauri kuhusu obd2 scanner nzuri unakaribishwa pia.
 
Ndugu wewe una gereji yako? Naona unaenda na wakati. Zinapatikana hapa na ukiweka shipping cost ni $465 hivi kwa Exprss Mail eg DHL. Tumia kadi yako ya Visa kuagizia.
 
Back
Top Bottom