Natafuta nyumba

Dereva wa Kirikuu

JF-Expert Member
Jul 10, 2015
751
624
Wakuu..
Heshma zitangulie..

Nimefika hapa Jukwa la matangazo nikiomba usaidizi wenu..
NIna tafuta nyumba;
Aina ; One-bedroom apartment
Location ; Mbezi beach, Mikocheni, Masasani na Masaki/Ostarbay
Kiasi/Kodi ; 200k< tsh <500k

Nipo tayari kukufata popote kwa maelekezo ya ziada..
Dereva wa Kirikuu
Asanteni..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom