Natafuta nyumba ya kupanga

Natafuta nyumba ya kupanga

Heaven on Earth

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2013
Posts
37,226
Reaction score
26,716
habari zenu

natafuta nyumba ya kupanga bei iwe kati ya 250,000 hadi 300,000 TZS

ikiwa chini ya hapo pia itakuwa vizuri zaidi. maeneo ya Makumbusho, Victoria

K,nyama au changanyikeni na maeneo mengine karibu na hayo.

mwenye kujua anaweza kuniambia ASANTE
 
Sinza kwa remmy unataka?
 
Changanyikeni shida ya maji.........ndio niko huku kwa sasa

Ila ukipata nishtue ASANTE
Inategemea na nyumba unayoishi
Nimeishi Kijitonyama,Sinza,Mwenge now Changanyikeni kwangu ndio best place kuliko huko nilipoishi mwanzo
 
habari zenu

natafuta nyumba ya kupanga bei iwe kati ya 250,000 hadi 300,000 TZS

ikiwa chini ya hapo pia itakuwa vizuri zaidi. maeneo ya Makumbusho, Victoria

K,nyama au changanyikeni na maeneo mengine karibu na hayo.

mwenye kujua anaweza kuniambia ASANTE

Vp ndugu madalali wamezingua au huwataki??
 
Inategemea na nyumba unayoishi
Nimeishi Kijitonyama,Sinza,Mwenge now Changanyikeni kwangu ndio best place kuliko huko nilipoishi mwanzo

Huku nimechoka... wakaa Changanyikeni ipi!!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom