Natafuta nyumba ya kupanga

Natafuta nyumba ya kupanga

Lediz Festi nadhani....

Huu upendeleo sasa umezidi, mimi ni mwanaume mwenzie. Hata akinipatia hicho chumba tunaweza tukawa marafiki halafu issue zingine tukasaidiana kiume.

Nitaongea na Heaven on Earth aniachie mimi, yeye kwakua ni wa kike hata shemeji yetu anaweza kutusaidia kutafuta!!
 
Last edited by a moderator:
Hahaha waswahili bwana. Sasa yeye kaanzisha uzi, wewe unadai haki kumzidi. Duuuh!

You took the words right outa my mouth! Kwanza mi nimeona amekuwa rude...
Maana kama angekuwa na shida asingesubiri mwenzie aanze kusema afu ye adandie! Some people....
 
Huu upendeleo sasa umezidi, mimi ni mwanaume mwenzie. Hata akinipatia hicho chumba tunaweza tukawa marafiki halafu issue zingine tukasaidiana kiume.

Nitaongea na Heaven on Earth aniachie mimi, yeye kwakua ni wa kike hata shemeji yetu anaweza kutusaidia kutafuta!!
Shark mbona kama umepanick............

ngoja nikuforwaide PM kama kwako haijaja
 
Last edited by a moderator:
habari zenu

natafuta nyumba ya kupanga bei iwe kati ya 250,000 hadi 300,000 TZS

ikiwa chini ya hapo pia itakuwa vizuri zaidi. maeneo ya Makumbusho, Victoria

K,nyama au changanyikeni na maeneo mengine karibu na hayo.

mwenye kujua anaweza kuniambia ASANTE

Nyumba ya vyumba vingapi? Kigamboni Kisota patakufaa?
 
Hahaha waswahili bwana. Sasa yeye kaanzisha uzi, wewe unadai haki kumzidi. Duuuh!

Humohumo wewe binti,
Kwanza nimefikiria nikaona tu hata tunaweza kukaa pamoja kwenye hicho chumba na Heaven on Earth kwa mwamvuli wa "Wana-JF",
 
Last edited by a moderator:
ajabu hii

Sio ajabu Bi mdada, by the way kama ikitokea wote tukakipenda hicho chumba si tutakaa wote tu please??
Mjini hapa kodi zinaumiza sana aisee, hata tukikaa pamoja tunaweza ku-share cost tukapunguziana maumivu ya kodi, :smile-big:
 
hahaaaa haya bana we ukipata huko nishtue hii ya sinza kama iko safi

tutakaa wote pia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom