Natafuta nyumba ya kupanga arusha

Natafuta nyumba ya kupanga arusha

El nino jr

Member
Joined
Aug 7, 2014
Posts
66
Reaction score
24
Habari za asubuhi wana jf,natafuta nyumba ya kupanga arusha kati ya sakina au morombo inaitajika ndan ya wiki hii yaan( single selfu-chumba,sebule,jiko,choo na maji na umeme visiwe vya kushea) nyumba isiwe mbali pia na stand au barabara ya magari.

Mawasiliano yng ni : 0622984993
Ukinikosa hewan pia naomba ni pm
Asante nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom